Karibu katika jukwaa la wajasiriamali ambalo linakuwezesha wewe kama creator kuuza huduma yako kwa wafuasi wako walio tapakaa katika nchi nzima kwa urahisi na kuweza kujiingizia kipato cha kudumu na cha kila mwezi. Iwe ni filamu, vichekesho, simulizi, masomo ya kidato cha kwanza hadi cha sita, vitabu(e-books), muziki, mafunzo mbali mbali ya kitaluma(proffesional trainings) n.k hapa ndo nyumbani kwako.
Eng. Kabenda Balete
Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.