OSHA Tanzania

OSHA Podcasts

Categories

Education

Number of episodes

1

Published on

2021-09-13 07:25:00

Language

Swahili

OSHA Podcasts

What’s This Podcast
About?

Sikiliza OSHA PODCASTS kutoka kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA).OSHA ni Taasisi ya Serikali iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, yenye jukumu la kusimamia masuala ya usalama na afya mahali pa kazi Tanzania bara.Katika ukurasa huu utapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu usalama na afya mahali pa kazi kupitia mfululizo wa vipindi vya KAZI SALAMA MAISHA SALAMA kwa njia ya sauti.

Podcast Urls

Podcast Copyright

OSHA Tanzania

Start monitoring your podcast.

Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.