Melch Leonard

Swahili Nomads

Categories

Self-Improvement, Education, Courses

Number of episodes

5

Published on

2022-09-22 14:54:00

Language

Swahili

Swahili Nomads

What’s This Podcast
About?

Karibu SWAHILI NOMADS ambapo tunakua na mambo mengi sana ya ku-share nawe kuhusu dunia ya kidijitali. Teknolojia imeboresha vitu vingi sana, hivyo kufanya maisha ya sasa kuwa mepesi zaidi, haswa kwa vijana tunaoishi na dunia viganjani mwetu. Fursa hizo ni kama ufanyaji kazi mtandaoni (Freelancing), Affiliate marketing, media buying, trading na mambo mengine mengi sana. Fursa hizo utazisikia wapi? Karibu SWAHILI NOMADS - Let's Talk Uchumi na fursa za kidijitali. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Podcast Urls

Podcast Copyright

Melchissedeck Leonard M

Start monitoring your podcast.

Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.