Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine, Sehemu sahihi kwa mwanamke anayejua nguvu yake ya kike na haogopi kuiishi/kuionyesha, yupo tayari kujifunza zaidi kuhusu Ulimwengu wa kike ili kunufaika kwa kuwa mwanamke ili usitumike bure. Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology , wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Welcome home QUEEN!
Hefsiba
Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.