Karibu kwenye Bongo Bila Borders — podcast inayozungumzia mambo yanayogusa tamaduni, imani, afya, mtindo wa maisha, mahusiano ya kimataifa, na kadhalika! Tunavunja stereotypes, tunajenga madaraja ya tamaduni, na tunashiriki hadithi halisi! Kipindi kipya kila wiki (Alhamisi) Follow, share na ujiunge Tunapeleka Bongo duniani kote! #BongoBilaBorders #Kiswahilikitukuzwe #Kiswahilikienee
Sabai na Alexa
Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.