FUATA BIBLIA

FUATA BIBLIA IKUONGOZE

Categories

Religion & Spirituality

Number of episodes

45

Published on

2025-04-17 08:41:00

Language

English

FUATA BIBLIA IKUONGOZE

What’s This Podcast
About?

Hiki ni kipindi cha kila Mkristo anaye tarajia kwenda mbinguni, kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Fuata Bibblia Ikuongoze, Ina usika na MAULIZO, MAONYO na MAFUNDISHO ya Neno La Mungu. Soma: 2 Timotheo 3:16-17. Soma tena: Yohane 8:32 Lengo la Kipindi hiki ni, kuwaelimisha watu wa Mungu, katika Neno la Mungu. Kwakuwa Biblia ina sema katika: Methali 12:1. Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. Kwahio kila Mkristo ana karibishwa katika kipindi hiki, cha FAUTA BIBLIA IKUONGOZE. Ili apate maarifa ya Neno la Mungu. Soma: Hosea 4:66 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Una karibishwa kuuliza ulizo lolote ulilo nalo katika Biblia, na kuleta mahoni yako, kwa usahidizi wa kipindi hiki. Sikiliza mafundisho Pia hapa kwenye YOUTUBE:https://www.youtube.com/@fuatabibliaikuongoze5921

Podcast Urls

Podcast Copyright

All rights reserved

Start monitoring your podcast.

Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.