mwalimu david

Maisha Clinic Podcast

Maisha Clinic Podcast
1
Episodes
Self-Improvement, Education
Categories
Swahili
Language
2021-01-26 23:06:00
Published

What's This Podcast
About?

Tamaa za aina nyingine ya maisha ni moja ya sababu kubwa inayosababisha watu kukosa kufurahia maisha. Maisha Clinic ni podcast ambayo inalenga kukusaidia kijana na ndugu msikilizaji kuweza kuishi maisha ya furaha. Kila mtu anaetafuta kufikia malengo fulani, maana yake anatafuta mabadiliko kutoka ktk hali moja kwenda nyingine. Maumivu ni sehemu muhimu sana ya mabadiliko hayo. Watu wengi tunashindwa kufaulu sababu ya kuhofia kunadilisha mazoea yetu. Maisha Clinic itajikita kukusaidia kufanya maamuzi yako binafsi, kujifunza kutokana na makosa na kuweka malengo machache yanayofikika.

Podcast Urls

Podcast Copyright

mwalimu david

Start monitoring your podcast.

Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.

Maisha Clinic Podcast
mwalimu david
mwalimu david