Uwanja wakuzungumza mambo mbalimbali ya kuijenga jamii. Tutazungumza kwa uwazi na kwa kulenga kujenga zaidi nyanja mbalimbali za jamii kama vile; Mahusiano binafsi, urafiki, uchumba na ndoa, maadili ya jamii na fursa mbalimbali (Msingi ukiwa ni NENO la Mungu). Tutakuwa updated na mambo mengi yanayoendelea kwenye maisha kwa ujumla huku msingi mzuri ukiwa ni NENO. By ; Loureen Christian Production (LCP)
Loureen Juma
Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.