Huu ni Wosia wa Mzazi kwa Mtoto wake, mzazi anaongea na mtoto kwa ufupi kuhusu mambo mengi ya dunia akimuasa namna bora ya kuishi, pia akimuasa kuhusu kusoma. Sura Zilizomo. i. Kuhusu Mwandishi ii. Sadaka ya Kitabu Kabla ya KusomaMazungumzo ya JioniSoma MwananguMaisha na KuishiDini na ImaniHekima, Busara na SubiraUtandawazi, Sayansi na TeknolojiaPesa, Tabia na MatumiziManeno ya AkibaAmbayo HayamoMtengenezaji/Producer: Musa Philimon Masaka (Ringtone Beats) Studio: Music Lab's Ushauri/Technical Advisor, Production, and Project Designer: Nyika Mbari Consults Mawasiliano na Nurdin: WhatsApp: +255714397539
Nurdin Mihungo 2023
Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.