Penzi la meek mill na milano limefikia mwaisho wameripotiwa kuachana wawili hao ambao walipata mtoto hivi karbuni kupitia twiter meek mill alitoa taarifa hiyo kwabkuandika wameachana kwa uzur tu na wamebaki kuwa marafiki na walezi wa mtoto wao sababu za wawili hao kuachana hazijawekwa wazi
V Luscious
Sign up to track rankings and reviews from Spotify, Apple Podcasts and more.